Nahitaji mtu wa kunisaidia kuifufua shule ya sekondari

Habari wanajamvi kama heading inavyo sema, nahitaji mtu au watu wakishirikiana nao katika kuendesha na kusimamia shule. Shule ipo chamazi mbagala inajumla ya hekari 15 hapo hapo na majengo ya madarasa 20. Maabara na hostel Ya wavulana na wasichana. Shule ilisha wahi kuwepo awali ila ilisimamisha huduma mwaka 2015 sasa nahitaji niifufue upya naomba ushirikiano tafadhari. Nikimpata mtu mwenye wanafunzi tayari au mwenye education center ambaye anatafuta majengo nipo tayari kushirikiana nayee. Nawasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee na mapicha ya mijengo ya shule basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi wa Shule ni ADA na MATOKEO tu,
Igeuze Kua Primary ya English Medium, jitahid upate matokeo mazuri yatakusaidia kuitangaza,
Anza na ADA nafuu kuvutia wazazi,
Tafuta Walimu hata wa Bei rahis wanaomaliza Vyuo na Uwape target, wakiwin target basi rewards ihusike,
Inabidi uwepo mwenyewe Shulen kuisimamia
kama atafuata ushauri huu hasa hapo kwenye kupunguza ada basi ategemee wanafunzi wawili kutoka kwangu
 
Habari wanajamvi kama heading inavyo sema, nahitaji mtu au watu wakishirikiana nao katika kuendesha na kusimamia shule. Shule ipo chamazi mbagala inajumla ya hekari 15 hapo hapo na majengo ya madarasa 20. Maabara na hostel Ya wavulana na wasichana. Shule ilisha wahi kuwepo awali ila ilisimamisha huduma mwaka 2015 sasa nahitaji niifufue upya naomba ushirikiano tafadhari. Nikimpata mtu mwenye wanafunzi tayari au mwenye education center ambaye anatafuta majengo nipo tayari kushirikiana nayee. Nawasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba namba yako ya simu ili tuweze kujadiliana zaidi
 
Unaizungumzia St emmanuel?

Nicheki mkuu. Nina idea bomba sana!
 
Kwanini usiigeuze ikawa hospital hiyo maana kwa mtaji huo inafaa kabisa na utapata wagonjwa wa kutosha tu bila kuhangaika maana sasa hivi watu wanaumwa sana na hospital zilizopo hazitoshelezi na bahati nzuri graduate wa sekta ya afya ni wengi mnaweza kuorganize mkafanya kitu kizuri
 
Asante kaka. Lakini siorahisi kama unavyo fikiria,lazima uwe na kiasi kingi cha pesa kuifanyia ukarabati iwe na muonekano wa kiospitali mkuu, alafu usajili, alafu vifaa vya hospitali. Hapana kaka nibora shule kwasababu inausajiri wa kutosha sana wa shule ya seco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom