mbona tu kuwa jf kunatosha kukupunguzia stress?
Unahakika gani sasa kama huyo mtu atakupunguzia stress..!??...maana chanzo kikubwa cha stress za watu ni watu wenyewe..na wewe unataka mtu..!!
Monde zikishapanda vizuri alafu dj Seydou apige kibao cha Msondo kinachoitwa Ajali hasa pale unapofikia ubeti wa mzee mzima Ngurumo dah Stress kwisha! Unamtafuta Asha mnasakata rhumba tu!
Hajui utamu wa jf, kama vip atembelee jukwaa la utani.
angalia usije ukaongeza stress badala kupunguza!
Karibu.
We dume au jike?????
Umeishamtoa ndukii huyu tayari...lolMi niko tayari ila uahidi kuandika maandishi yaliyonyooka, mambo ya kuandika xana badala ya sana sio.Pili unichangie pesa ya credit kidogo kama tutachat kwa simu , au ya internet kama tutaishia online.
Holla back. . . .
Umeishamtoa ndukii huyu tayari...lol
Mi niko tayari ila uahidi kuandika maandishi yaliyonyooka, mambo ya kuandika xana badala ya sana sio.Pili unichangie pesa ya credit kidogo kama tutachat kwa simu , au ya internet kama tutaishia online.
Holla back. . . .