Nahitaji mtu wa kuangusha mbuyu

Nahitaji mtu wa kuangusha mbuyu

Tundapori

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2007
Posts
652
Reaction score
277
Habari zenu wakuu.

Naomba msaada kwa ye yote anayemfahamu mtu au kikundi cha watu wenye ujuzi/utalaamu wa kuangusha mbuyu ananipatie contact zake au ani PM.

Mbuyu ni mkubwa sana na kwa kukadiria shina lake lina kipenyo kama cha mita 3 hivi.

Mbuyu huu upo Dar es salaam.

Gharama za kazi maelewano.

Asanteni sana.
 
Utauchomaje moto mkuu hata kuangushwa bado?

Naomba maelezo zaidi.
 
Mosi ni kosa kuangusha mti wa saizi hii. Hii miti iko protected.Ukiuangusha huenda ukashtakiwa.
Pili mti kama huu una mashetani yake, ukiuangusha itakuwa balaa, zungumza na wazee kwanza.
 
Mosi ni kosa kuangusha mti wa saizi hii. Hii miti iko protected.Ukiuangusha huenda ukashtakiwa.
Pili mti kama huu una mashetani yake, ukiuangusha itakuwa balaa, zungumza na wazee kwanza.

Hapo kwenye mashetani hapo. Asije akatusababishia mvua za bila mawingu.
 
Back
Top Bottom