Za leo waungwana, kwayeyote anayejua wapi nitapata mtambo mdogo wa Bio gas wa ng'ombe wasio zidi wanne ( Zero grazing system) na CCTV Camera mbili naomba anifahamishe wapi naweza pata na bei zao.