Nahitaji mtaalamu wa kuniundia website

Nahitaji mtaalamu wa kuniundia website

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
275
Naitaji mtu wa kunitengenezea website.

Bei zake ziwe nafuu.

Kazi yake iwe nzuri.

Atumie artwork zake asipest templates.

Ni website ya habari za ubunifu,mitindo,ujasiriamali nk.

awe anajua kuunga na adsense pamoja na pinpoint.

awe tayari kunipa maarifa na mimi pia.

Tuchekiane!
 
Stv MknStv Mkn Mimi nataka nikufundishe kila kitu kuanzia hatua ya awali kabisa ili ufanye mwenyewe. nitakufundisha bure bila malipo yoyote. ukiwa tayari niambie, hakuna haja ya kukutana wala kuingza urasimu wa aina yoyote. nitakufundisha vizuri kabisa kupitia Youtube. takugarmu kuanzia miezi 3 mpaka miezi 6 kufahamu kila kitu, baada ya hapo utazidi kuwa proffessional kadri utakavyozidi kufanya kazi na kusoma technology mpya
 
Mods ili bandiko mbona mmeleta uku? nimeweka jukwaa la technology coz naamini ndio kuna wataalamu wa aya mambo...sasa kuliamishia uku ndio nieleweje?
 
Stv MknStv Mkn Mimi nataka nikufundishe kila kitu kuanzia hatua ya awali kabisa ili ufanye mwenyewe. nitakufundisha bure bila malipo yoyote. ukiwa tayari niambie, hakuna haja ya kukutana wala kuingza urasimu wa aina yoyote. nitakufundisha vizuri kabisa kupitia Youtube. takugarmu kuanzia miezi 3 mpaka miezi 6 kufahamu kila kitu, baada ya hapo utazidi kuwa proffessional kadri utakavyozidi kufanya kazi na kusoma technology mpya

Sawa ila kwa sasa naitaji mtu wa kuniundia baada ya hapo nitakuwa najifunza mwenyewe taratibu....kama uko tayari tuchekiane
 
Stv Mkn sawa kaka, ili upate kazi bora na ya uhakika i recommend huyu mdau Paje ni proffessional hapa JF atakufanyia kazi yako haraka na kwa ufanisi. Mimi nitacontribute everything kwenye project yako.
 
Stv MknStv Mkn Mimi nataka nikufundishe kila kitu kuanzia hatua ya awali kabisa ili ufanye mwenyewe. nitakufundisha bure bila malipo yoyote. ukiwa tayari niambie, hakuna haja ya kukutana wala kuingza urasimu wa aina yoyote. nitakufundisha vizuri kabisa kupitia Youtube. takugarmu kuanzia miezi 3 mpaka miezi 6 kufahamu kila kitu, baada ya hapo utazidi kuwa proffessional kadri utakavyozidi kufanya kazi na kusoma technology mpya

Umeelewa anachotaka? This is like somebody saying 'I am looking for an architecture to build me a house, then u come and say, i will teach you how to build your own house for free', web designing/development is a professional ambayo haitaendelea hapa tanzania namna hii.
 
Naitaji mtu wa kunitengenezea website.

Bei zake ziwe nafuu.

Kazi yake iwe nzuri.

Atumie artwork zake asipest templates.

Ni website ya habari za ubunifu,mitindo,ujasiriamali nk.

awe anajua kuunga na adsense pamoja na pinpoint.

awe tayari kunipa maarifa na mimi pia.

Tuchekiane!

Bei nafuu kwako ni kuanzia ngapi?
 
Naitaji mtu wa kunitengenezea website.

Bei zake ziwe nafuu.

Kazi yake iwe nzuri.

Atumie artwork zake asipest templates.

Ni website ya habari za ubunifu,mitindo,ujasiriamali nk.

awe anajua kuunga na adsense pamoja na pinpoint.

awe tayari kunipa maarifa na mimi pia.

Tuchekiane!

Pochi yako ikoje? Yaani utatoa kama ngapi? Ili iwe kielelezo cha mi kutiririka.
 
kuanzia laki na nusu.
Laki na nusu doesn't even pay my monthly office rent(kwangu pia nachukulia kama dharau), Ukipata mtu wa ku design website kwa laki na nusu ujue huyo ata download templates na pia wote (you and him) are not serious. A good website should cost not less than 600,000 tsh (i still would not do a website for that price) and a real web designer should know that.

Option nyingine: (kuna jamaa wanaitwa Smartcodes wa huko Dar) wao wanadai wanakupatia domain + website for something similar (ingawa website yao wenyewe walidownload themeforest). maybe you should check with those guys.

Advice: A website is the only way you get to connect with customers 24/7 365 without extra costs, serious people usually budget for this, It's also an online representation of your business. People can easily judge your business by just looking at your website so you better be serious about it.
 
Najikuna mkono wangu unapofikia mkuu, kama unachukulia negative sina la kukuelewesha.
 
Have you thought that maybe you are not ready for a website? There's no point in having a cheap website now only to realise a few months down the road that it wasn't the best website, and start looking for another designer to re-design it, I'd advice you just get yourself a domain create some emails and wait for a website when you are ready.
 
think the guy needs a blog like other blogs ambazo they are made kwa price hiyo then anannua domain afu anaclaim ni website.
 
Just have a blog and then buy a domain. But for a web, that price is too low.
 
Back
Top Bottom