Nahitaji mshirika tushirikiane kufanya kazi

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
652
1,000
Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada.
Mimi nina kampuni na ina usajili tayari kwa kila hatua zote pamoja TN na lesen kutoka halimashauri.

Kampuni hii inajihusisha na vitu vingi sana in general lakini kwa sasa inahusika na shughuli za IT services zote mfano programming na software developer, ofsi tayari ipo kahama.

Lengo la kuleta uzi huu hapa ni kama kuna mtu anahitaji kufanya kitu mmojawapo mfano una printer kubwa ya mabango au una camera au upo vizuri pia kwenye system developer.

Nakukaribisha tushirikiane kwa pamoja Kahama bado kuna fursa nyingi hasa kwenye hii idara.

Naomba ukiwa tayari njoo PM tuyajenge na tukubaliane nini tunaweza kufanya
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
14,290
2,000
0621364931 mpigie huyo nahisi mnaweza fanya kitu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom