Nahitaji mshauri/ushauri

Nahitaji mshauri/ushauri

Maelezo yako kwa mtu wa kawaida atakuona wewe ni mbabaishaji

Kusema huna ndugu na wala huna makazi (huku ukiwa na umesoma ualimu).

Mimi nimekuelewa, wewe hata ukipewa kazi utaendelea, "kutangatanga"

Kazi utafanya vizuri, ila baada ya muda utaona hapo kazini hapakutoshi (naandika hapa kwa uzoefu wangu na yaliyonipata hapo awali).

Msaada wa awali unaopaswa kupewa, upate sehemu ya kuishi (ukae hapo bure, kula, kulala n.k vyote iwe bure,)

Ikitokea umeondoka hapo, upewe nafasi ya kurudi pindi huko ulipokwenda mambo yatakapokwenda fyongo!

Hiyo itakufanya uwe unapata muda mzuri wa kupitia yote yaliyotokea hapo nyuma, na hapo ndipo utapata mwanga wa nini kinakupasa ufanye!

Ukijiingiza katika makanisa hapo umejipoteza.

Naandika kwa uzoefu siyo ubabaishaji!
Ahsante sana mkuu...
 
Dogo mzinguaji, nimemtafutia kibarua na nikamtafutia pakulala kwa mwezi mmoja.
Dogo kaingia mitini, na sina hakika hata kama kweli yupo Dodoma.
Pengine yawezekana anatupanga ili tumuonee huruma na kisha atuNyete
Ya kweli haya? mimi pia baada ya kusoma hapa nilipanga nimtafute sasa km analeta ianja janja inakuwaje!
 
Dogo mzinguaji, nimemtafutia kibarua na nikamtafutia pakulala kwa mwezi mmoja.
Dogo kaingia mitini, na sina hakika hata kama kweli yupo Dodoma.
Pengine yawezekana anatupanga ili tumuonee huruma na kisha atuNyete
Aisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
 
Aisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
Kijana, unazingua sitaki niseme mengi wewe utakuwa na matatizo yako mengine
 
  • Thanks
Reactions: amu
Km kuna anaeleta mzaha na shida yako Allah hulipa hapahapa!
Mkuu, swala la huyu kijana nili lifanyia kazi. Lakini ebu aseme hapa kama alifanya kile tulicho kubaliana?
Na nilimuuliza kama anataka anataka nauli ama anataka kazi na pakuishi?
Jibulake lilikuwa kazi na pakuishi, lakini baada ya hapo kilichofuata ni kunikasirisha tu.
 
Mkuu nimeuza vitu vingi sana vya ndani na nilivyokuwa navyo hivyo kuuza simu sioni kama itakuwa solution na mara nyingi simu kama inanisaidia kutoa stress nikiingia mtandaoni na vitu kama hivyo na kwa asilimia kubwa simu ndo inanisaidia sana na nikiuza ndo naona maisha yatakuwa mabaya sana mkuu nilijaribu kuwaza hivyo lakini naona effect ya kuuza simu na kukaa bila simu ni kubwa sana
Na bando anakuwekea nani?
 
Usiseme hvyo hta kidg!utakuja shushwa na ww!
Hapana sijaongea kwa mabaya ni vile tu mtu alivyoandika na nmejaribu kuvuta taswira ya kulala stendi na huko kwingine nmefananisha na wale waliopp hapa mjini dsm kuna wenye makwao ila anakubali ateseke mradi tu aonekane anaishi dsm
 
Aisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
Okay, mbona sasa haukuja ili nikupeleke kwenye hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom