Nahitaji msambazaji wa mafuta ya nazi, mafuta ya mlonge and any other natural oils for skin care

Please you can reach me at 0654 754556

Unahitaji watu wanaosambaza wakuletee wewe unayahitaji, au;

Unataka msambazaji umpatie ili aweze kusambaza...?.

Jaribu kuweka sawa angalau mkuu coz wengine wangependa kuelewa zaidi kiongozi.

Kila la heri. Thanks.
 
Sisi tupo mbeya mjini, ofisi yetu ni kampuni, moja ya malengo yetu ni kufanya uwakala wa huduma na bidhaa......hivyo kama bidhaa zako ni halali kwa maana ya vibali vya matumizi ya dawa na vipodozi hivyo vya Asili, JE, MKATABA WAKE UKOJE?
TUWASILIANE KWA KWA MAELEZO ZAIDI...0652 656565
 
Unahitaji watu wanaosambaza wakuletee wewe unayahitaji, au;

Unataka msambazaji umpatie ili aweze kusambaza...?.

Jaribu kuweka sawa angalau mkuu coz wengine wangependa kuelewa zaidi kiongozi.

Kila la heri. Thanks.

Nahitaji kuletewa
 
Back
Top Bottom