Nahitaji msaada wenu wakuu. Nipo njiapanda

single father

Member
Oct 22, 2019
77
117
Ama salam na baada ya salam,nikiri kuwa nilikuwa ninatafuta mke kwa nguvu zote kwa huku nikiomba Mungu anipe mke mwema lakini sasa nimepata wachumba wawili na wote nawakubali pia kila mmoja yupo tayari kuolewa na mimi ila hawajuani means wapo mikoa tofauti ila mmoja niko nae mkoa mmoja ila najiuliza yafuatayo huyu ambaye niko nae jirani hapa anasifa nzuri zifuatazo
1. Ana kazi yake nzuri
2. Elimu degree
3. Geto limekamilika yuko full kila kitu cha geto anacho
4. Mimi na yeye kabila moja (wachaga)

Changamoto zake
1. Alikuwa anaishi na jamaa mi nilikuwa namuiba ila cha ajabu jamaa ametimuliwa niingie mimi
2. Demu hana shepu kabisa jamani mwembamba kinoma
3. Dini tofauti ila ninavyo mcheki yupo tayari kunifata japo kishingo upande
4. Umri wake mkubwa more than 31 japo hapendi kuweka wazi
5. Dem ametendwa kinoma historia yake ya mapenzi ni ngumu anamajamaa yamemuumiza sana

Dem 2 nipo mbali nae Faida zake
1. Ana kijishepu flani hivi ni kama kinandi means kiuno unakiona na tako pia limejitenga
2. Yupo romantic
3. dini tunafanana
4. Anaishi kwao kwa hiyo simuoni mara kwa mara hata kunyanduana bado kila tukikutana anaitwa na maza ake

Hasara zake
1. Elim kidato cha 4
2. Hana kazi
3. Kabila lake baba mrangi japo kalelewa na mama ambaye ni mmasai

Asante
 
Huyo Namba 2 atakufaa zaidi na ndiye chaguo lako,huyo namba 1 unambabaikia tu coz ya elimu yake,kazi yake na uwezo alionao tu kimaisha,namba 2 anakufaa kuanza nae maisha,hapa wala hukuhitaji kuja kuuliza huku.

Tatizo
1. hana churaaa
2. Mtoa mada keshamfahamu mno na vya ziadaa ambayo katika mahusiano unapomfaham mwenzi kupitilizaa saa zingine mwaeza msifikie malengo
 
Kama unataka kuheshimika oa huyo wapili, vipi nikupe sababu nzito?
 
OA namba 1 kwa sababu zifuatazo
A.matured,umri unaelekea kumuacha so lazima akipata ndoa ataishikilia
2.katendwa anajua thaman ya mahusiano Hadi Sasa
3.Tayari anajua maisha hatosumbuka Sana pale uchumi unapoyumba,ukioa asiyejua maisha atakua anategemea makubwa yasipokuwepo itakua shuguli
N.B.usihamie kwake tafuteni nyumba nyingine mjumlishe mlivyonavyo muishi kwa amani

Ndugu wajumbe haya Ni maoni yangu nawe toa yako.MSINIFOKEE
 
We utakavyoona bhana inafaa poa tu.

Kigezo cha kwanza, uwe na MTU utakayeona fahari hata kutoka naye. Sio sura ya Babu, tako LA kichaga, hautadumu nae.
 
Oa unaeona moyo wako unauhitaji nae, wewe ndo unawafahamu kwa undani, usifate elimu, Mali, au watu wanashabikia uoe yupi, ukioa wewe ndo utaishinae hao watu hawatakuwepo....FUATA MOYO WAKO MKUU
 
Oa unaeona moyo wako unauhitaji nae, wewe ndo unawafahamu kwa undani, usifate elimu, Mali, au watu wanashabikia uoe yupi, ukioa wewe ndo utaishinae hao watu hawatakuwepo....FUATA MOYO WAKO MKUU
Angekuwa anajua moyo wake unataka nini hata asingekuja kuuliza hapa
 
Oa huyo mchagga ndoa yenu itadumu maana mna same culture Yuko matured na anaweza kuwa mama Bora, huyo form four akili itakuwa nzito Sana atakusumbua hata watoto watamshinda kulea au kuwasimamia homework.
Halafu na wewe acha kupendea watu shape vipi huyo wa shape akizaa chura iishe utamuacha na yeye au akikatika miguu juu. True love hupenda bila conditions yoyote.
Hafu mahusiano mazuri ni Yale ya kila mtu ku benefit kutoka kwa kila mmoja.
 
Ndugu, Ukitaka sisi tukuchagulie mke ,huyo hatakuwa mkeo atakuwa mke wetu(JF).
Wewe binafsi inabidi utambue unataka mke wa aina gani na si mwingine yeyote yule kukuchagulia.
Kumbuka pia huwezi kupata mke atakaetimiza matamanio yako kwa %100.
Ushahuri wangu ,jaribu kufikiria unatafuta mke wa kuonekana kwa watu au una tafuta mke wa maisha yako yote utakapokuwa duniani,yaani mke mtakaeshirikiana katika raha na tabu ,mkipanga na kutekeleza yale mnayodhani yanatija kwenu na familia yenu.
 
mkuu huna msimamo kwa wote.
Maana unasema unawachumba wawili, na wakwanza umemtoa kasoro ambazo kwa haraka haraka hizo kasoro alizo nazo hazikuvutii sema kinachokuvuta kwake ni elimu na kazi/mkwanja
huyo hakufai maana kasoro alizo nazo haziwezi badilika kamwee hata akinenepa hatokuwa na kitako ka huyo wa pili

Mchumba wa pili ni mzuri machoni pako na unekuwa radhi kuwa nae ila hana kazi na hana hela. ushauri kwako fikiria upya kuhusu hao then uamue kuwaacha ama kumchukua asiye na kazi na ambae hujawahi hata mwonja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom