Nahitaji msaada wenu wakuu. Nipo njiapanda

Nahitaji msaada wenu wakuu. Nipo njiapanda

Kazi anayo inapofika kwenye serious matter aisee asiangalie extrnal beauty aangalia vitu vingi, maana akikaa na mwenye chura akimuzoea ataona kawaida. Kuwa mke mwema Ni zaidi ya chura na ukifata hisia za kingono zikiisha mahusiano yanakuwa shida maana apart from chura na mapenzi kitu kipi kingine anaweza kuki offer huyo mwenye chura
headache tu 😂😂😂
 
Ama salam na baada ya salam,nikiri kuwa nilikuwa ninatafuta mke kwa nguvu zote kwa huku nikiomba Mungu anipe mke mwema lakini sasa nimepata wachumba wawili na wote nawakubali pia kila mmoja yupo tayari kuolewa na mimi ila hawajuani means wapo mikoa tofauti ila mmoja niko nae mkoa mmoja ila najiuliza yafuatayo huyu ambaye niko nae jirani hapa anasifa nzuri zifuatazo
1. Ana kazi yake nzuri
2. Elimu degree
3. Geto limekamilika yuko full kila kitu cha geto anacho
4. Mimi na yeye kabila moja (wachaga)

Changamoto zake
1. Alikuwa anaishi na jamaa mi nilikuwa namuiba ila cha ajabu jamaa ametimuliwa niingie mimi
2. Demu hana shepu kabisa jamani mwembamba kinoma
3. Dini tofauti ila ninavyo mcheki yupo tayari kunifata japo kishingo upande
4. Umri wake mkubwa more than 31 japo hapendi kuweka wazi
5. Dem ametendwa kinoma historia yake ya mapenzi ni ngumu anamajamaa yamemuumiza sana

Dem 2 nipo mbali nae Faida zake
1. Ana kijishepu flani hivi ni kama kinandi means kiuno unakiona na tako pia limejitenga
2. Yupo romantic
3. dini tunafanana
4. Anaishi kwao kwa hiyo simuoni mara kwa mara hata kunyanduana bado kila tukikutana anaitwa na maza ake

Hasara zake
1. Elim kidato cha 4
2. Hana kazi
3. Kabila lake baba mrangi japo kalelewa na mama ambaye ni mmasai

Asante
Mmh hapo kazi unayo ila s kubwa kiivo kama unaona tako litakufikisha sehmu we chukua kama unaona mwenye maisha anakufaa we chukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom