Nahitaji msaada wenu wa dhati

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,828
7,298
Aliye na charger/adaptor ya computer aina ya Accer yenye input 100-240V na output 19V..kama unayo naomba msaada wako nashindwa kuoperate kompyuta yangu,tuwasiliane kupitia 0717-522175
 

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,506
5,183
nenda kwenye jukwaa la science na technology kule kuna wataalam wanaweza kukupa hata technic ya kutumia charger ya wireless! Au hata charger ya kobe...
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,828
7,298
Heeh! Charger ya kobe tena Mkuu wa chuo!!...ila wacha niende huko kwenye science na teke linalokujia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom