Nahitaji msaada watanzani

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu watanzania
Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia ninauzoefu zaid ya 5 year wa kuendesha gari ndogo na kubwa leseni yangu ni ya zanzibar ina class A,B,D na C nimewahi kuwa muandisha katika daftari la kudumu la wapigakura ha znz nikiwa km muandishi na tecnition suport team kwa yoyote anaweza kunisaidi namba yangu ni:
0777 433260
0713 476484
Ahsanteni.
 
Mbn haujasema unahitaj msaada gani!?
 
Nahitaji msaada wa nafasi ya kazi kulingana na ujuzi nilioutaja hapo juu
 
unataka usaidiwe nini
...hifadhi hapa mjini??
...kukutafutia mchumba??
...mchango wa harusi ??
au nini??
 
Mkuu kama unaujuzi wa Kutengeneza Komputer kwa nini usijaribu plan B?
 
khaaa hizo qualification ni pouwa sana bt hujasema unahitaji msaada wa aina gani either moral or financial
 
Mkuu mahirtwahir,

Ingawa vifupisho vingi(unnecessarily) Ni vizuri kuangalia kupitia magazeti pia, lakini ningekushauri kurekebisha mwanzoni katika thread yako! kuliko kutoa maelezo halafu kutoonyesha unahitaji 'msaada wa nini'

Na kusema unahitaji/unatafuta kazi ni bora kuliko thread title iliyopo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…