Nahitaji msaada wa ushauri ndugu zangu

Umefurahiiiii....
mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lol
 
mawenge yako tu!!hakuna lolote!!! Usije kwenda kwa mganga bure umpelekee kitoweo!!
 
Hehehe kitu mwisho wa mwezi sio?

mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lol
 
hehehe sasa sijui itakuwa na maana gani hiyo namba....
mmh! yaani pamoja na bata lote lile bado kulikuwa na uchovu....hebu Dr ukuje hospitalini kwangu nikutibie huo ugonjwa wa kuchoka.

ipo....tena ndio iliyoanza........halafu Dr jana nilichoka........
 
Hehehe kitu mwisho wa mwezi sio?

yaani hiyo namba ni balaaa teh teh teh umeona nikutafute tarehe hiyo best??ujue ina uhusiano na wewe
 
Vipi barabarani,..namba za magari huoni zimeishia 51?
Ukiangalia saa ukiona ipo 51 ikodolee macho mpaka ifike kamili,huwezi jua labda kuna kitu chataka kitimie mkuu.
 
Preta tafaazal bana... wengine tunakuwa affected na avatar. Sio siri hiyo avatar imeongeza flow ya damu maeneo fulai ya mwili wangu...
Preta plz ambia hii Tuko kuwa wewe naolewa!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana hebu tafuta mpenzi mwingine huyo hakufai. Kwanini? Angalia mahesabu hapa chini:
Namba 51 inakwenda 5+1 = 6 kisha ukiandika kwa mfumo wa bainare ni sawa na 110 ukichukua 1+1+0 hapa unapata 2.
2 ni namba mbaya sana kwani inawakilisha Ugomvi. Kwenye utabiri ugomvi hutokea wakati sayari mbili zinapokuwa sambamba yaani nyuzi 180 ambazo ni nyuzi za duara 360 kugawanya kwa 2 (namba ya ugomvi) :mvutaji:
 
Yawezekana kati yenu mmoja anashetani au jini.
huyo jini anakufuata fuata,na ataaribu uhusiano wenu.
 
ni kweli tunagombana sana
 
Hiiiii yuwiiii FP shosti njoo uone mapenzi yalivyo kizunguzungu mi nimemshauri amuache huyo mupenzi maana anakuja kwa fujo sana kwenye mtima wake
 
Last edited by a moderator:
Matatizo ya fikra mgangf hayo. Akiwazacho mjinga ndicho kimtokeacho.
 
Makubwa mbona haya wenzie tunaona picha ya boxer iliyotuna kwa mbele ye anaona namba hebu njoo huku Madame B
 
Last edited by a moderator:
Preta tafaazal bana... wengine tunakuwa affected na avatar. Sio siri hiyo avatar imeongeza flow ya damu maeneo fulai ya mwili wangu...
Ushindwe na Ulegee Kama mlenda mkuu Tuko. Na hiyo Damu irudi huko kwenye kichwa kikubwa ili iweze kukusaidia umalize hivyo Viroba hapo mezani :mvutaji:
 
mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lol

Mmmh amu hapa si bure na ww una undugu na shekh yahya (rip)?
 
Last edited by a moderator:
Mwambie abadilishe line(namba) ya simu yake..
 
Hahhahhaha haya majibu ya jf unaweza jikuta umejifungia toilet unalia na kompyuta yako mkononi..ukiulizwa huna jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…