Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu


[emoji28][emoji28]okayy[emoji3590]
 
[emoji3064]huwa mnawaza kwamba huwa tunaumia mkifanya ivo na kuondoka.. ?
kingine naona kama kuna baraka nazuia nikendelea nae..
kwako wewe kuendelea nae ni kijichelewesha mwenyewe kupata baraka zako....

ifike mahala ujitegemee katika kuamua mustakabali wako, unless umekwama hapo licha ya ishara zote za kwamba wewe si muhumu au wala sio chaguo lake la kwanza. Labda huenda hayupo wa kukukwamua right?...

rejea kauli yake, ya kwamba hata ukiolewa hatakuacha, then huyo anae wa muhumu zadi yako...

kung"ang"ana apo ni kujiumiza mwenyewe...

Roho Mtakatifu akujaalie unyenyekevu na utulivu, alainishe moyo wako ili hatimae iwe rahisi kwako kuskia sauti ya wito wa Mungu katika maisha yako ya kila siku ikiwa ni pamoja na mapenzi ya kweli, ya dhati na ndoa...
 
Move on girl hauna mtu hapo atakupotezea muda wako na chance za kupata mtu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…