Minjingu Jingu
Senior Member
- Nov 2, 2023
- 142
- 504
La Liga cool Sana sebuleni kwangu tu hapo dk 3 toka homeAnnox ipo Furahisha au La Liga Nyasaka hutojutia
Bei yake inaanzia tsh ngapi mkuu?Lahe hotels iko uelekeo wa airport ni nzuri lahehotels.net 0715450012
Bei yake inaanzia tsh ngapi mkuu?Isamilo
Bei yake inaanzia tsh ngapi mkuu?La Liga cool Sana sebuleni kwangu tu hapo dk 3 toka home
Ebhanaeee hii hoteli mpka leo inakimbiza haijapata mpinzani hapo mjiniKaribu na mjiniiiii wacheki vizano
Sure, mkuuEbhanaeee hii hoteli mpka leo inakimbiza haijapata mpinzani hapo mjini
Des Grand Hotel Buzuruga mwananchi. Kwa 40,000 unaishi Safi kabisaMimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.
Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu kama za kariakoo,manzese au buguruni.
Nashukuru kwa msaada wenu ambao ni muhimu sana kwangu.pia isiwe mbali sana from airport maana nitakuwa nakuja na kutoka Mwanza kwa kutumia ndege kila mara.
Mkuu upo serious na huyo mtoto nije Inbox?Mkuu funguka tu ikiwa unahitaji ile huduma yetu pendwa nikuunganishe na mtoto mmoja mkali sana akupokee akutembeze mpaka uenjoy ziara yako ya uchakataji wa mbususu za kisukuma !
Uzuri wake bei ni elekezi kabisa