Mungu akubariki mno NN...Kwa sasa niko mbali kidogo lakini hiyo siyo ishu.
Nikipata mtu wa uhakika naweza kumtumia kupitia MoneyGram halafu yeye akamrushia kwa kupitia local money transfer services.....
Mungu akubariki mno NN...
Nimeshazichukua na kumtumia tayari... Barikiwa sana sana
tiba za kitamaduni ndo hizi kwa waganga au?Kama umepima hakuna walichoona,Jaribu pia tiba za kitamaduni ndugu yangu.Ukichelewa athari zitakuwa kubwa,kwa ambao yalishawakuta watanielewa.
Iam grateful for everything ngabu..nashukuru mno kwa mchango wako.Ahsante sana Vale.
You are the best!
Haya nenda kanywe soda sasa.
Tiba mbadala, usikalili waganga ujue ata hizo madawa za mahospitalini mengi ni mitishamba.tiba za kitamaduni ndo hizi kwa waganga au?
sawa ila hospital sikumaliza.kama ingekua imeshindikana ningeanza kwenda huko.bado kuna vipimo sijapimaTiba mbadala, usikalili waganga ujue ata hizo madawa za mahospitalini mengi ni mitishamba.
Tiba mbadala sometime ni vyakula, siyo mpaka madawa chunguza pia mlo wako siku za nyuma, maana kwa asilimia karibu 80 ya magonjwa sugu causative ni diet imbalance.sawa ila hospital sikumaliza.kama ingekua imeshindikana ningeanza kwenda huko.bado kuna vipimo sijapima
sawaTiba mbadala sometime ni vyakula, siyo mpaka madawa chunguza pia mlo wako siku za nyuma, maana kwa asilimia karibu 80 ya magonjwa sugu causative ni diet imbalance.
amen mkuuNaomba nikupe pole sana dada na ninakuombea kwa Mungu Mwenyezi akuinulie watu watakao kusaidia. Mungu siku zote ni mwaminifu na mwenye huruma na upendo. Usiogope.
Vipi umefikia lengo?amen mkuu
Mie zangu bia bana we ngosha lolAhsante sana Vale.
You are the best!
Haya nenda kanywe soda sasa.
Mpaka sasa zimepatikana 250,000 bado 450,000 my dearVipi umefikia lengo?
Zitapatikana tuMpaka sasa zimepatikana 250,000 bado 450,000 my dear
nitaweka mkono Ijumaa, Mungu anisaidie nisisahauZitapatikana tu
Nitakukumbushanitaweka mkono Ijumaa, Mungu anisaidie nisisahau
mkuu nitafurahi na usisiteNitakukumbusha
Mpaka sasa zimepatikana 250,000 bado 450,000 my dear