george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
Jamani wanajf nahitaji msaada kwa yule anayeifahamu shule ya ganako high school,mpaka sasa cjapata joining wala cjui iko sehem gan...nisaidieni jamani...nimechoka na maisha ya mtaani.!
ulijuaje inaitwa ganako high school huku hujui iliko?