Nahitaji msaada tafadhali,.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,733
Wadau mimi natumia simu aina ya Nokia E-71-1, tatizo langu lipo kwenye connections ya internet! Jf naingia kwa kulegalega sana maana inaload mida mrefu sana, sasa mimi nataka nijiunge na Whatsapp inaniambia '' check your internet connections'' natumia line ya voda!! Tafadhali nahitaji msaada au namna ya kuifanyia configuration,. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom