Nahitaji msaada tafadhali

niandikie2016

Member
Nov 9, 2015
12
0
Habari za asubuhi wana jamii forum! Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuamka salama na kuanza siku salama.

Lengo la kuandika post hii kwa kwel nahitaji msaada wa hali na mahali kutoka hapa nilipo na kuendelea na maisha yangu kawaida.

Tafadhali ukiguswa naona unicheck PM

Asanteni...Na niwatakie asubuhi njema!
 
Shida ya vyuo kufungwa mapema
 
Sema shida yako hapahapa tukusaidie.
Na uache dharau nani akufuate PM
 
watu tumekuja haraka haraka kumsaidia mdau alafu unakuta habari za PM
mkuu mficha maradhi kifo umuumbua.. wewe funguka tu usije ukaumbuka badae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom