Pishor77
Member
- May 16, 2023
- 23
- 14
Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.
Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!
Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.
Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru.

- Nyama
- Samaki
- Kalanga
- Maharagwe
- Dagaa, nk
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
- Chapati
- Mandazi, nk
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
- X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
- Makohozi yakuotesha negative
- HIV - negative
- Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine