hebu niambie jinsi ya ku-pm na mimi ni M-PM .SIJUI KUTAKUWA NA INTERVIEW!naku PM niko serious
Njoo PM mpenzi.
Haya sweet nakuja, haki ya Mungu. Mungu anipe nn gunia la misumari? HapanaaNjoo PM mpenzi.
Haya sweet nakuja, haki ya Mungu. Mungu anipe nn gunia la misumari? Hapanaa
you can,but i can than you;therefore it is me who will get that chansi.give me that special golden chance and I will show you how much I can...
aise umejipanga...mimi nina 24
Mkuu mi nataka nichukue kazi hii kwa bibi, huwa wanakuwa watamu sana
dah we una 24 umelamba bingo.. kaage kwenu kabisa....
teh ,teh teh nini lengo lako hasa mama .kuharibu maisha ya kijana ,au unamtengezea maisha ,hebu chukulia angekuwa mwanao ndio kafichwa na jimama 55years .ungeona sawa .kama hutafuhia usimfanyie mwenzio kitu kibaya ambacho ukifanyiwa wewe utakasirika .tafuta wazee wako walioachwa userebuke nao, pia acha kutuharibia watoto wetu.
Kabla ya kukujibu nataka kujua,
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?