Anaogopa kutongoza huyo
Nenda maeneo ya Deluxe usiku utawakuta wengi then utachagua kulingana na fleva inayoipenda
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Hiv hujui kutongoza
Live n kipaji
Kuna weny hawana
Hicho kipaji
Ila kwmy cm hata wimbo
Wa taifa utaimbwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndo kaona ni rahisi maana kaona kupiga sound uso kwa uso ngumuKumbe anataka wale wa kutongazana kwa smssms aisee
Ndo kaona ni rahisi maana kaona kupiga sound uso kwa uso ngumu
Phoenix au.....Baskeli aisee
Ndio ujibu maswali ya wadada au hujaziona comment zaoNipo mkuu..
Ata tunza sio mbaya.....Ashart gani...au ya kwenda malaika?