Nahitaji Mpenzi wa kike 19-23yrs

Nahitaji Mpenzi wa kike 19-23yrs

Barnaba pro

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
210
Reaction score
13
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe mzuri,good shape asiwe mfupi sana coz me mrefu kiasa.

Akipatikana wa Dar so mbaya.Kama uko serious ni pm
 
Una salio la milion ngapi bank? Ukiwa nazo wala huhitaji kuja huku-usijidanganye 'mapenzi sio pesa'
 
Wewe unataka kufeli kiurahisi sana waulize kwanza waliokutangulia kama uwamuzi wako ni sahihi ujibiwe ukianza na mimi nakuambia soma kwanza ukifika chuoni wapo wengi sana utampata
 
I mean yu need to study first coz form 6 una exam za kutosha, warembo wapo kila mahali ten pindi uko chuo Jambaz
 
unasoma comb gani ?
... na je unamalengo na shule kweli?
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe mzuri,good shape asiwe mfupi sana coz me mrefu kiasa.

Akipatikana wa Dar so mbaya.Kama uko serious ni pm

Kwa umri wako unatakiwa utulie na usome kwa bidii haya mengine baadae sana.acha uzinzi kama una mpango wa kufanikiwa.
 
Wewe unataka kufeli kiurahisi sana waulize kwanza waliokutangulia kama uwamuzi wako ni sahihi ujibiwe ukianza na mimi nakuambia soma kwanza ukifika chuoni wapo wengi sana utampata

kwani mkuu mapenzi yanahusiana vipi na kufeli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom