nahitaji mnunuzi wa miwa dar

nahitaji mnunuzi wa miwa dar

eng mkali

New Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
3
Reaction score
0
naitwa hussein ni mkazi wa dar lakini ni mwenyeji wa muheza nina miwa yangu ambayo ipo shambani kwangu muheza tanga nahitaji mnunuzi nina miwa iliyo tayarri kuvunwa ipo kama 20,000 aliye tayari tuwasiliane kupitia namba 0654 996561
 
Ni ya kutengenezea sukari au ni ya kutafuna.
 
Back
Top Bottom