Nahitaji mlango wa mbele kulia wa chaser gx 100

Nahitaji mlango wa mbele kulia wa chaser gx 100

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,990
Reaction score
3,551
Wadau nahitaji mlango wa mbele kulia wa gari ndogo Chaser Gx100 kwa aliyenao ani Pm price, mlango uwe Dar es salaam.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu nenda tandale barabara kuelekea sinza madukani Kuna magari yanakatwa kuuza speak
Kuna gx 100 body zipo
 
Back
Top Bottom