Nahitaji mkopo wa laki 1 tu.(100,000)

Nahitaji mkopo wa laki 1 tu.(100,000)

huna rafiki wa kukukopesha laki moja kweli.. au ndugu na jamaa.

laki moja sio hela ya kuitafuta mitandaoni...

nahisi wewe sio mlipaji wa madeni.. ndio maana kwa jamaa zako na majiran hukopesheki
Mungu akufanyie wepesi ndugu.
 
Nitakupaharaka mkuu iwapo
Vigezo na masharti kuzingatiwa hapa chini:-
1.barua ya mwajili
2.salary slip ya mwezi mei,2017
3.vyeti original kwa muda huo
4.baada ya kuonesha vipigwe mhuri na mwanasheria
5.Referee wawili watumishi wa serikali walokaguliwa kwa s/slip, ID ya NIDA & ID ya kazi
Vyote hvyo kisa laki tu mkuu
 
Habari,kichwa cha habari chahusika,nimepata tatizo kidogo so kwa anayeweza kunikopesha kiasi tajwa hapo juu.
Ninafanya kazi na kat ya tarehe 1 mpaka 3 nitakuwa nalipa so kwa siku kumi tu.Kuhusu interest/riba nipo tayari.Nina kila kitu km salary slip,passport na hata ninapoishi na barua ya mwajiri ukiitaji itapatikana.Kwa atakayeweza tafadhari tuwasiliane 0714 411041
Kuna mtu anakopesha kwa kuandikisha lkn sharti uweke mali yenye kuzidi pesa unayohitaji,hiyo itakufanya urudishe pesa yake bila kuzungushana,ukiwa tayari utanijulisha
 
Wanajf nashukuru sn kwa michango yenu ya mawazo na napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa nimeshapata.Nawashukuru wote.Ahsante
 
Tatizo uaminifu...unaweza kumuamini mtu na kumpatia pesa ikabaki kula kwako.. mimi kuna member mmoja nilimuazima pesa yangu humu mpaka leo sijarudishiwa na simu zake hazipatikani akipatikana hapokei
Duh, pole...huyo member ni Ke au Me?
 
Riba 20%. Dhamana vyeti vyako original.
Kama upo tayari fanya dm
 
Mi namuelewa jamaa. Unaweza ukawa na shida ya hela ndogo sana usipate kwa ndugu au rafiki. Mwenye kumsaidia amsaidie..
Ni kweli kabisa kuna times una kuwa na shida na hata wale watu wa Karibu huoni kule utapata msaada wao....
 
huna rafiki wa kukukopesha laki moja kweli.. au ndugu na jamaa.

laki moja sio hela ya kuitafuta mitandaoni...

nahisi wewe sio mlipaji wa madeni.. ndio maana kwa jamaa zako na majiran hukopesheki
Mi nina wasiwasi kama hata mwajiri wake ameshindwa kumwamini hata kwa advance tu na sio mkopo.. basi lazima jamaa atakuwa na matatizo ya uaminifu..
 
Back
Top Bottom