Nahitaji mkopo wa kujenga nyumba ya kuishi. Taasisi gani inakopesha?

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Wadau,

Ninahitaji mkopo wa fedha ili nijenge nyumba ya kuishi katika eneo ninalolipenda na ramani ninayoihitaji. Sina fedha za kutosha kujenga nyumba hiyo. Ninaomba yeyote mwenye taarifa ya taasisi, ama mtu binafsi anayeweze kunipa mkopo huo kwa makubaliano sahihi, anisaidie.

Ahsante kwa muda na mawazo yenu.​
 
Kwa mkopo wa nyumba sikushauri kukopa kiholela. Nenda benki, sio kwa watu binafsi au wakopeshaji wenye malengo ya muda mfupi.

Halafu fikiria mara mbili kabla hujachukua mkopo. Pengine kujenga nyumba kidogokidogo inaweza kufaa zaidi ya kuchukua mkopo. Think twice kabla haujafanya move ya kuchukua mkopo.

By the way, unataka mkopo wa sh ngapi na kujenga kwa level gani?
 
Ahsante kiongozi. Nahitaji million 100 zikipungua sana 80

Hapo maana yake unataka mkopo kuanzia msingi mpaka finishing.
Sikushauri kufanya kosa kama hilo.

You have two options.
1. Chukua mkopo wa KUNUNUA nyumba sio kujenga. Hapo utaweza kuhamia immediaty na zile kodi za pango ukatumia kulipa mkopo.

2. Kwa kujenga ni vyema uanze mwenyewe mdogo mdogo na uchukue mkopo kwenye hatua za mwisho tu.

Kumbuka kuwa ukichukua mkopo ambao lengo lake sio kuzalisha unapunguza uwezo wako wa kifedha. Kama kwa mwezi ulikuwa unapata sh mil 1 itabadilika kuwa laki 7. Halafu kila mwaka utakuwa unaipa bank zaidi ya sh mil 10 kama interest. Pesa hizi ungezitumia kujenga zingekusukuma.

Option nyingine ambayo ni reasonable ni kuchukua mkopo kwa ajili ya biashara ambayo faida yote unaingiza kwenye ujenzi. Hapa inabidi uwe na muda na ujuzi wa biashara.
 
Ahsante sana kwa ushauri. Nitazingatia.
 
unaponunua nyumba siyo rahisi ku- fulfil hizi requirements zake" nijenge nyumba ya kuishi katika eneo ninalolipenda na ramani ninayoihitaji"
 
du bora utumie mkopo kwa biashara then through faida ya biashara utajenga nyumba yako bila bugudha kama ni kwa miaka mitatu.
 
Ila pia ni vyema ajue na huko kwenye biashara kama hana uzoefu ni bora asiingie heizo hela kichwa kichwa asije akapata hasara, maana wataalamu wa baishara wanashauri hela za mkopo ni vyema zitumike kwenye kuendeleza biashara na sio kuanzisha.
 
Kama akikopa 100m kwa miaka 15 at 10% interest, atarudisha benki karibu shs 200m. je kwa kiasi hiki, hiyo nyumba atakayoijenga si ni ugonjwa wa moyo (liability)?
 
Mimi nahtaji idear zenu kwa ujumla nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom,dining,sebule,stoo na jiko msingi nimechimba na mawe chini nimeweka yameenea ila juu bado sijauinua kwa wale wataalamu naomba kujui inaweza kuhtaji mawe kiasi gani kumaliza msingi
 
Wadau,

Ninahitaji mkopo wa fedha ili nijenge nyumba ya kuishi katika eneo ninalolipenda na ramani ninayoihitaji. Sina fedha za kutosha kujenga nyumba hiyo. Ninaomba yeyote mwenye taarifa ya taasisi, ama mtu binafsi anayeweze kunipa mkopo huo kwa makubaliano sahihi, anisaidie.

Ahsante kwa muda na mawazo yenu.&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
wwe ni fundi?Ushauri siku hizi benki zimefilisika labda uende BOT wao bado wanakopesha
 
Back
Top Bottom