Nahitaji mkopo wa haraka

newbie

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
216
48
........................................................asanteni nimekamilisha
 
Wadau habarini, nina shida na laki moja haraka nitarudisha mwisho wa mwezi huu, dhamana laptop mpya kabisa haijatumika hata siku moja.

Sasa kama haijatumika hata mara moja nitajuaje kama ni nzima? isijekuwa kimeo!
 
Sijategemea mtu kama Genta kwa ninavyokuelewa unaweza kumjibu mwenzio namna hii.Na anashida
Muhim ni ku pick kwenye point yake na kumuuliza kawaida tu

Kwa Heshima Yako Zanzibar Spices Niwie Radhi Kama Umekwazika ILA Mijitu Mingine Humu Ni Very Provocative!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom