Location ilikuwa tatizo labda😁😁😁Mkuu hujampata tu ? 😳
Tokea upo moshi, mpaka sasa upo vikindu ?!
Soma pia:
Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa
Soma pia:
Nahitaji mke mtarajiwa
Soma pia:
Nahitaji mke
Aseee kumbe kumpata mke ni rahisi kiasi hiki...Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Hahahah 😀 Nenda vikindu ukalime BintiLocation ilikuwa tatizo labda
Akhuuuu nani alime mimi na urembo wote huu nilime jamaniHahahah 😀 Nenda vikindu ukalime Binti
unaujua uzi wa ule wa warembo?!Akhuuuu nani alime mimi na urembo wote huu nilime jamani

Nauonaga ndiyo unataka kusemaje?unaujua uzi wa ule wa warembo?!
![]()
Haha 😀 mbona unajihami sasaNauonaga ndiyo unataka kusemaje?
Nipe link niendeHaha 😀 mbona unajihami sasa
cheki mule anaekukaribia urembo taja post number ya picha
🙂
haha ukiupata utaucheki utanipa majibu wakati wowote!Nipe link niende
😂😂😂😂Sahv una miaka 36 mkuu. Mwaka jana ndo ilikuwa 35
Samahani nilikuwa nakurekebisha kidogo
Yaani unatangaza kabisa kuwa huna hela!Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
Sawa mkuuhaha ukiupata utaucheki utanipa majibu wakati wowote!