nahitaji mguu wa kuku

nahitaji mguu wa kuku

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
waheshimiwa nisaidieni jamani nahitaji nami nimiliki mguu wa kuku (bunduki), nimebahatika kukopa ka-starlet sijajua kuendesha vizuri sasa watu waki ni over take huwa naumia sana,mfano juzi daladala ilini over take halafu konda kaniambia tulia wewe, basi nika funga brake za ghafla kisha nikakasirika nilishuka bahati mbaya sina nguvu, kweli nikatamani na miimi ningekuwa na mguu wa kuku yaani hawa maboda boda wanavyoyaendesha kwa fujo ningewamaliza wotee manake huku barabarani kuna watu wanatia kweli hasira, halafu pia kwenye ma bar watu wakijua una mguu wa kuku wanakupa heshima mno una uwezo wa kumchukua mrembo yoyote maadam tu uwe umeiweka sehemu ambayo kila mtu ana uwezo wa kuiona, kingine ni kwamba wapenzi siku hizi wamekuwa siyo waaminifu hivyo nikiwa na mguu wa kuku nakuwa na uwezo wa kumtuliza mwizi wangu wote pamoja na huyo mpenzi kama matukio mengi tunayoyasikia kwa sasa ....kwa sababu tajwa hapo juu nilikuwa naomba ndugu wasomaji mnishauri utaratibu wa kumiliki hii kitu au hata kama kuna mtumishi yoyote asiye mwaminifu aliyepewa dhamana ya hii kitu aweze kuniuzia ya kwake kwani kale kautaratibu ka serikali ni karefu mnoo

asanteni kwa kunielewa
 
Nenda isilii nairobi laki9 tu kwa wasomali unapata inayouzwa tanganyika army 2.5mil, ila sababu zako za kuitaka hiyo kitu naona mwisho wako utapopolewa na mawe tu wakuue bure, nenda kwanza russian culture kajifunze kareti ndo saizi yako
 
waheshimiwa nisaidieni jamani nahitaji nami nimiliki mguu wa kuku (bunduki), nimebahatika kukopa ka-starlet sijajua kuendesha vizuri sasa watu waki ni over take huwa naumia sana,mfano juzi daladala ilini over take halafu konda kaniambia tulia wewe, basi nika funga brake za ghafla kisha nikakasirika nilishuka bahati mbaya sina nguvu, kweli nikatamani na miimi ningekuwa na mguu wa kuku yaani hawa maboda boda wanavyoyaendesha kwa fujo ningewamaliza wotee manake huku barabarani kuna watu wanatia kweli hasira, halafu pia kwenye ma bar watu wakijua una mguu wa kuku wanakupa heshima mno una uwezo wa kumchukua mrembo yoyote maadam tu uwe umeiweka sehemu ambayo kila mtu ana uwezo wa kuiona, kingine ni kwamba wapenzi siku hizi wamekuwa siyo waaminifu hivyo nikiwa na mguu wa kuku nakuwa na uwezo wa kumtuliza mwizi wangu wote pamoja na huyo mpenzi kama matukio mengi tunayoyasikia kwa sasa ....kwa sababu tajwa hapo juu nilikuwa naomba ndugu wasomaji mnishauri utaratibu wa kumiliki hii kitu au hata kama kuna mtumishi yoyote asiye mwaminifu aliyepewa dhamana ya hii kitu aweze kuniuzia ya kwake kwani kale kautaratibu ka serikali ni karefu mnoo

asanteni kwa kunielewa

Kwa haya maelezo yako tayari ushapoteza sifa ya kuwa na huo mkuu wa kuku
 
Mguu wa kuku haukufai wewe tafuta mguu wa njiwa
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Nenda juba south sudan na tshs 20,000/- utapata mguu wa mbuni mvulana.
 
Maniner zako ukiovertekiwa unatamani kumwaga ubongo?? hupati utaisikia radioni kanunue mishale.
 
Kwa jinsi ya maelezo yako hufai kumiliki hata mguu wa njiwa wachilia mbali wa kuku.

nenda kimanzichana kanunue manati itakufaa
 
Maniner zako ukiovertekiwa unatamani kumwaga ubongo?? hupati utaisikia radioni kanunue mishale.

Ha ha haaaa yaani jamaa atatuua aisee huyu apewe msafara tu kwa kweli yaani overtake tu anakamua triger!!!!?????
 
Nenda central waambie hizo sababu za kutaka kununua watakupa fasta.

true kabisa mkuu, jamaa anakila sifa ya kusaidia jeshi la polisi, nenda mkuu vijana kama nyie mnahitajika sana na jeshi la umwera...
 
...njoo garissa au dadaab utapata mzigo wa kutosha,achana na huta twa risasi sita,njoo ubebe mzigo wa risasi 32, box la risasi utapewa kama zawadi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom