Nahitaji Mchele mzuri

Nahitaji Mchele mzuri

Two ten

Senior Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
173
Reaction score
138
Habari zenu wanaJamii Forum,
Wapi nitapata mchele mzuri kwa bei rahisi?

Nipo Dar.
 
Nenda kisutu sokoni kuna michele mizuri sana au nenda kariakoo mtaaa wa nyamwezi na namhoro kuna duka kubwa pale linauza mchele toka mbeya ukifika nyamwezi street ulizia duka hilo watakuonesha tu
;liko barabarani tu

halafu hapa kuna mdau alisema yeye anauza michele sijui kakimbilia waipi
habari zenu wanajamii forum,
wapi nitapata mchele mzuri kwa bei rahisi?

Nipo dar.
 
mkuu mara nyingi mchele ambao ni grade one ni ule unaotoka mbeya wilaya ya kyela. sasa kiongozi sijui unahitaji tani ngapi mkuu. basi sema ili tukuletee kiongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom