Nahitaji Mbwa

Nahitaji Mbwa

Wamwelu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
250
Reaction score
158
Wana JF baada ya kuvamiwa na "Mbwa Mwitu" zaidi ya 10 nyumbani usiku, na kuibiwa na kujeruhiwa nahitaji ulinzi zaidi. Nahitaji Mbwa walinzi German Sherperd pure. Mwenye kuuza au anajua wapi anapatikana anijuze.
 
nenda moroko opposite na police ostebay...kuna vetenary ya mbwa na paka..kwa dokta sanare utapata mijibwa huko
 
Mbwa wa Africa, Animal Shelter and kennel facility based in Usa River is looking for loving homes for our rescued dogs. Next to 12 beautiful doggies aged between 3 month and 2 years, we have 2 gorgeous adult couples. All our dogs are friendly, healthy and vaccinated.

King & Queenie

image002.jpg
image004.jpg
image006.jpg

Are 1,5 years old, probably brother and sister and have been already spayed and neutered. They have spent their whole life together and are very attached to each other. Both are energetic and playful and will need space to run. They are absolute friendly with people they know, but also alert and definitely good watchdogs. Queenie needs time to get used to other dogs, but they are learning fast and will be wonderful companions.

Fina & Doggo

image014.jpg
image015.jpg

Are two female dogs. Fina is 2 – 2,5 years old, Doggo 8 month. Fina ‘raised' Doggo, who was found as a small puppy in a ditch and they are also really close friends. Especially Fina is very gentle and loyal with her humans and they are both awesome pets, but know their ‘watchdog duties' in the night .

If you are interested in one of these pairs or in any other of our dogs, please contact us under:
in...@mbwa-wa-africa.org
or send a text to:
0786900973 (Sandra)

You can also check our website:
www.mbwa-wa-africa.org

We kindly ask when adopting a dog that you help with a donation of 50.000 TS or more to help cover a part of the costs and treatments.
 
kuweni makini na muuzaji asije kuwa yule bwana kitomari wa Arusha,km sio yeye muzaji sisi tuna usd 125 nataka 4
 
Mimi natafuta Rhodesian Ridgeback kama kuna ambaye anaye bado mtoto.

scooter.JPG
 
Nina mfahamu top dog breeder hapa Dar nitafute nitakupeleka ukapate Mbwa unae mtaka.

Wana JF baada ya kuvamiwa na "Mbwa Mwitu" zaidi ya 10 nyumbani usiku, na kuibiwa na kujeruhiwa nahitaji ulinzi zaidi. Nahitaji Mbwa walinzi German Sherperd pure. Mwenye kuuza au anajua wapi anapatikana anijuze.
 
At last nimepata Arusha ila kweli ni ghali sana. Asanteni wana JF kwa kunielekeza.
 
Siwapendi mbwa natamani wote wafe,dogo langu j2 anatoka kanisani aling'atwa na mbwa,mpaka sasa anaendelea fresh ila anachoma sindano znafka mpaka mwakani mwez w 3 ndo anamaliza,j3 anaenda tena kuchoma sindano elfu 10,200 mnazi 1 hospital,
 
mh! Pole Sana Mkuu
Mi Nawapenda Sana
 
Nina pure rottweiler miezi 9 bei 1.6million, fully vasinated and trained
 
Bei ya mbwa wazuri imechangamka balaa na pia matumizi ni lazima upange budget ya kutosha.
 
dah Rotty ni mbwa wakali sana, mimi napenda sana mbwa lakini Rottweiler sijui kama nitakuja kufuga, mwisho wangu ni German Shepherd tu.
 
dah Rotty ni mbwa wakali sana, mimi napenda sana mbwa lakini Rottweiler sijui kama nitakuja kufuga, mwisho wangu ni German Shepherd tu.

Rottweiller washenzi sana hawa, hua akipanda mzuka hatuliziki kabisa.
Niliwahi kufuga, dah niliamua nimlishe sumu tu, nipunguze hasara.
 
Back
Top Bottom