karibia na nyumbani kwangu naona vijana wengi wanauza, ni kupita kawe beach kama unataka kwenda africana, kwa hapa nyuma kuna pub inaitwa limerick hapo hapo ukiiuliza watu panapouzwa mbwa wadogo watakuonyesha na inawezekana ukawaona vijana wamewashika, zipo sehemu kama mbili maeneo hayo hayo na karibia na saloon ya kiume de lamuje