Mkuu kama umepata client wakuaminika unaweza kajaribu kumanage profit ukaanza kuboresha taratibu.. Karibu kuwa na management nzuri. Haswa ya marketing.Salam ndugu hapa ndani,
Mimi ninayo kampuni ya ulinzi natafuta mbia mwenye nguvu kipesa nimesajili kampuni tangu mwaka Jana. Nakosa nguvu kuiboresha na kuifanya ya kisasa, mwenye nia ya dhati anichek 0757131135.