Nahitaji Mbegu ya Canola

Nahitaji Mbegu ya Canola

Joined
Oct 13, 2018
Posts
58
Reaction score
31
Wakuu Mimi ningenda kujua ni wapi nchini wanalima canola , nina mpango wa kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya Canola.

Kama kunaye mwenye mbegu au ni mkulima wa canola naomba tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom