Nahitaji mbao za Mkongo au Mninga

Nahitaji mbao za Mkongo au Mninga

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Habari wakuu,

Ninahitaji mbao za mkongo au mninga, napatikana Dar lakini sihitaji kununua Dar kwa kuwa gharama ni kubwa.

Nimeambiwa mninga unapatikana zaidi Tabora na Mkongo unapatikana zaidi kusini (Mtwara).

Hivyo kwa mwenye connection ya mtu wa uhakika kati ya Mtwara/ Tabora naomba aniunganishe nae ili niwasiliane nae nikazifate huko. Utaratibu wa usafiri na vibali nitashughulika navyo mimi.

Asanteni
 
Ngoja nikutafutie
 
0784312904

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom