Nahitaji maziwa ya unga ya jumla kwenye viroba

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
11,000
Reaction score
23,500
Habari wadau. Nahitaji maziwa ya unga kiwango cha jumla. Yaani kama nipate mtu wa kiwandani ambaye ataweza nifaulishia wastani wa kilo 500 kila wiki.

Nani ana connection? [emoji848]
 
Nenda kariakoo mtaa wa Pemba Kuna jamaa wanauzzaga pale. Mzigo upo wa kutosha Kona zile
 
Back
Top Bottom