Nahitaji mawazo yenu wa Jf!

Unaenda chuo kwa matokea yapi ya div 0? bora ureseat tu labda ukasomee mambo ya hotel huko hawaulizagi matokea bali leaving certificate tu.
 
kama ana umri zaidi ya miaka 19 aende akasomee certi.then diploma na kama yuko chini ya 19 arudie paper na inategemea anatafuta credit ngapi..
 
Hapo inategemeana amepataje hiyo Form, kwasababu unaweza kumpeleka kwenye Cerificate, Diploma halafu akashindwa kwenda Chuo.Si unajua kwenye Certificate na Diploma ni pesa yako tu!! Issue ni kupata chuo, Lazima ucomply na requirements za TCU, Walau C Tatu(3), Lazima iwepo na C ya Core Subject kutegemeana na Course aliyoomba .Mfano Kiingereza au Hesabu, Biology etc.Kutegemeana na Course.
 
Ngoja niwape matokeo yake amepata civ-C,biology-D,Math-F,Phy-F,Chem-F,Geo-D,Hist-D,Eng-D,Kisw-D!
 
Back
Top Bottom