Nahitaji mawasiliano ya mtu wa Kigurunyembe

Nahitaji mawasiliano ya mtu wa Kigurunyembe

Realperson

Member
Joined
Sep 24, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Habari wanajf kwa aliyesoma Kigurunyembe chuo cha ualimu. Naomba tuwasiliane anipe mawasiliano.
 
Ila maelezo yako kama hajatosheleza vile!!!Mawasiliano ya aliyesoma kigurunyembe au Mawasiliano ya Chuo cha Kigurunyembe??
 
Asante mkuu.Yaani ni mawasiliano ya chuo cha kigurunyembe.
 
Back
Top Bottom