Uko wapi? na unataka shuka ngapi ? Ukubwa gani wa shuka?Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada.
Yale ya kudarizi maua ya Kigoma huyataki tena?Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8
Usisahau ulikotoka mkuu, utamaduni ni muhimu.🤣🤣🤣 Haya bwana sina neno
Ninayo ....nipo dar magomeni moroko karibu,Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8
Nauza shuka za Uganda cotton pure size 7*8 bei shuka 2 foronya 4 kwa TSH 45,000/= tuNahitaji mkuu, unauzaje?