Nahitaji mashine za kupukuchua mahindi

Nahitaji mashine za kupukuchua mahindi

MAPALAGE

Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
38
Reaction score
21
Wadau yeyote anayejua zinapopatikana mashine za kupukuchua mahindi kwa hapa TZ.

Niliwahi kuziona Arusha watu wakizitumia, nami nazihitaji ila sijui pa kuzipata.

Nahitaji zile ndogo portable kwa pikipiki.

Asanteni.
 
0753701502 nichek nikutumie popote ulipo mimi niko dar
 
Weka mambo hadharani mkuu tunaohitaji ni wengi lakini tunataka uweke kwa uwazi ndio tukutafute.mimi nahitaji ila inayojitegemea yani isiyotumia pto nataka inayotumia engine
 
Nimewaelewa wakuu na mimi ninayomaanisha ni inatumia engine ya disel inauwezo wa kuvutwa na pikpik au baisikeliI japo zipo hadi kubwa zaidi.hiyo ni biashara nzuri nilipiga hela sana wakati niko njombe kikazi nilikuwa na hizo mashine tatu
 
Kama maelezo hayajitoshelezi nipigie nikuelekeza vyema maana kuandika maelezo mengi inanipa taabu kwasababu siunajua tena simu za tachi zinachosha ukibonyeza W inatokea E
 
Mkuu Mwaga Nondo hapa kuwa muwazi.wewe andika tu usiogope yupo mkuu P diddy na Small Pdidy wanaandika km bata lkn tunaelewa tunachoogopa mambo ya simu matapeli wamekuwa wengi cku hizi yani tufafanulie ina uwexo wa kupukuchua gunia ngapi kwa siku bei na upo wapi.mimi nataka mashine 2 ila nasikia zipo zinazotumia mashine za kichina zile za piston 1 ndio nataka fingika ili uwape watu elimu ili wakuamini
 
Nilivomuelewa huyu UKAWAA hana machine hizo kwa ajili ya kuuza, bali maybe anazo anazotumia yy ila hataki kutaja alipozinunua... wivu usio na tija!
 
Last edited by a moderator:
Duh!!ndo maana wengine wanajua vitu ila wanakaaga kimya kuogopa mashambulizi kama haya maana nia njema inakuwa sasa nia ovu.
 
Ni kweli hizo mashine mimi sina na sio muuzaji,mashine nilizokuwa nazo zilikuwa na uwezo wa kupukuchua gunia 70 kwasiku na kila gunia nilifanya kwa sh.2000 mafuta full tank ni lita 3ya dissel kwasiku nilikuwa natumia lita 6.ukiondoa posho ya kijana utaona nilikuwa na baki na sh.ngapi kwasiku na ilikuwa inapga hadi j2
 
Kama maelezo hayajitoshelezi tuulizane vizuri tusishambuliane maana tunaelekezana sio kukwazana
 
Mimi ninatengeneza mashine hizo na nyinginezo nyingi,nipo arusha kuna ambazo zipo tayari ila ni kubwa za kukokotwa kwa gari(pick-up au tractor) kama upo tayari unipate kupitia namba -0685 439979,ntakutengenezea kwa muda mfupi,na kufanya repair ndogo ndogo bure ndani ya msimu mmoja wa kilimo,
MAPALAGE kiogwe bigubire
 
uko arusha sehemu gani
unaziuzaje
 
Last edited by a moderator:
uko arusha sehemu gani
unaziuzaje
Nipo njiro masai dada bei itategemea ukubwa wa mashine unayohitaji,kuna ushauri pia wa kuweza kupunguza gharama nk ikiwa mwenyewe utaridhia,sijatengeneza mashine ndogo kama hizo wadau wanazozisemea kama za kukokotwa kwa baiskeli au pikipiki bado,hivyo tukiafikiana naweza kutengeneza hizo kwa bei ambayo mostly ni negotiable,kumbuka pia kuwa mashine hizi hazihitaji material nyingi,ni vitu vichache tu vinavyoweza kupatikana kwa gharama nafuu,hivyo kuhusu bei ondoa shaka!!na ni mradi mzuri sana japo ni wa misimu,kwa mfano mteja wangu mmoja alipeleka mashine yake moja tu huko kondoa,na alikuwa akipukucha mahindi kwa mapatano ya shilingi 2000 hadi 1000 kwa gunia,na kwa siku moja aliweza kupukuchua hadi gunia mia moja,ukitoa gharama za diesel,chakula,maji,na usafiri una hakika ya kubaki na kipato kikubwa tu,cha muhimu kuwe na watu sharp wa kuchotea mahindi kwenye kinu,watu ambao pia hutagharimikia kuwalipa wewe,NB baada ya kununua mashine kwangu unaweza kununua engine na kuifunga mwenyewe(if you like)na siku hizi kuna engine za kichina ambazo ni za gharama nafuu sana,thanks all.
 
mkuuu nimekuelewa kama unaweza eka picha na bei kwa kubwa na ndogo ambazo umetengeneza
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru sana kwa shule nzuri ambayo hata sisi vijana tunaweza kujifunza. Samahan kwa usumbufu ila ntashukuru sana kama ukinipa gharama za kutengeneza hiyo mashine ndogo ambayo inaweza kuvutwa na Baiskel au Pikpik.

Naomba japo ukadirie tu kua utengenezaji unaweza gharimu shillingi ngapi ila hata mtu anaetaka kujihusisha na hiyo biashara ajue kama ataweza au lah.Ntashukuru sana kwa msaada wako Capt. Tamar
 
Hizo mashine nilizoziona mashambani ARUSHA, ni ndogo tu, unabeba kwa piki piki, unaibeba kama unavyobeba mzigo, zinapukuchua gunia 200 kwa siku. Zinatumia generator za kichina, HP 5/ HP 6.5 etc (Kama zile wanazotumia kumwagilia)

Inasemekana ziliingizwa toka nairobi, ila kuna wabongo pia wameanza kuzitengeneza.

Mnaojua zilipo mtuambie aisee, unajua sifa nzuri ya ujasiriamali ni kutokuwa mchoyo. capt tamar kama umeweza tengeneza hizo naamini hata hizo ndogo waweza tengeneza.
 
Nipo njiro masai dada bei itategemea ukubwa wa mashine unayohitaji,kuna ushauri pia wa kuweza kupunguza gharama nk ikiwa mwenyewe utaridhia,sijatengeneza mashine ndogo kama hizo wadau wanazozisemea kama za kukokotwa kwa baiskeli au pikipiki bado,hivyo tukiafikiana naweza kutengeneza hizo kwa bei ambayo mostly ni negotiable,kumbuka pia kuwa mashine hizi hazihitaji material nyingi,ni vitu vichache tu vinavyoweza kupatikana kwa gharama nafuu,hivyo kuhusu bei ondoa shaka!!na ni mradi mzuri sana japo ni wa misimu,kwa mfano mteja wangu mmoja alipeleka mashine yake moja tu huko kondoa,na alikuwa akipukucha mahindi kwa mapatano ya shilingi 2000 hadi 1000 kwa gunia,na kwa siku moja aliweza kupukuchua hadi gunia mia moja,ukitoa gharama za diesel,chakula,maji,na usafiri una hakika ya kubaki na kipato kikubwa tu,cha muhimu kuwe na watu sharp wa kuchotea mahindi kwenye kinu,watu ambao pia hutagharimikia kuwalipa wewe,NB baada ya kununua mashine kwangu unaweza kununua engine na kuifunga mwenyewe(if you like)na siku hizi kuna engine za kichina ambazo ni za gharama nafuu sana,thanks all.
Hasante Mkuu, naweza kupata mashine ya kukamua alizeti ? Kama ndio, ni kwa bei gani??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom