Kurunzi "Photocopy machine" zina idadi ya nakala "installed capacity" ikashafika hiyo idadi ufanisi wake unapungu sana; ushauri wa georgeallen unaweza kukusaidia kuboresha biashara yakoWadau nahitaji mashine nzuri used ya photocopy kwaajili ya biashara je ni wapi kwa hapa dar naweza kupata? na ni aina gani ya mashine ambayo ni nzuri kwaajili ya biashara?