Nahitaji mashine ya photocopy aina ya canon iR 1600. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mashine ya photocopy aina ya canon iR 1600.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NG'OMBE, Mar 11, 2012.

 1. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wakubwa, naomba msaada wa kupata mashine ya photocopy aina ya canon iR 1600 yenye sifa zifuatazo;
  • black&white Device
  • print at 16 pagee per minute
  • A3 max paper size
  • Network Ready.
  mashine hiyo iwe na model kama hii.[​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ili wadau wakusaidie ueleze hiyo device unataka ikufikie wapi, unataka ipatikane hapo hapo nchini au uagiziwe toka nje, na mengine, jaribu kufafanua hapa pana wengi watakusaidia haraka tu. habari haijajitosheleza
   
 3. Bond James

  Bond James Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  Bado una hitaji hii copier? niogie kwenye 0757-291560
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mi ninayo canon 6030. iko safi kabisa bei powa sana nicheki info@havilla.net ( 0675 145555)
   
 5. M

  Misa JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2014
  Joined: Jul 5, 2013
  Messages: 834
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bado unahitaji canon IR1600?
   
Loading...