INAUZWA Nauza photocopier CANON IR 2204, IN MINT CONDITION.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087
Kazi zake;
  • Copying (black),
  • Printing (black),
  • Scanning (Color, grayscale, black & white),
Kwa ukubwa wa A3, A4, A5 n.k.

Inafanya kazi zote tajwa hapo juu.
Wino wake ni cheap na unapatikana sana (C-EXV 42 TONER).


Bei ya mashine: 800,000/-,
Location: Bagamoyo mjini,
Mawasiliano: 0786 737 923.

Ni yangu, haina udalali.

IMG_20220109_114742_961.jpg
IMG_20220109_114716_098.jpg
IMG_20220109_114659_749.jpg
IMG_20220109_114637_665.jpg
IMG_20220109_114621_949.jpg


Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Hii printer inachapa sana kazi hata kuscan ni fasta sana. Ila mimi yangu ilikuwa na kaugonjwa ka kuandika Power OFF and ON, if the device do not recover, contact your dealer or service representative.
Walihangaika mafundi wakachemka, badae nikaja kutatua mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom