NAHITAJI MASHINE YA MAXMALIPO AU SELCOM

NAHITAJI MASHINE YA MAXMALIPO AU SELCOM

sontable

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
261
Reaction score
536
Kama upo dar na una mashine ya selcom au maxmalipo unaiuza na haina tatizo lolote nakuomba pm na bei yako

NOTE:najua kuwa kwa mawakala zipo na bei zao nazijua so naomba bei yako isifanane na wao.
 
Max Malipo kishaporwa Tender zote za Polisi, Dawasco, TRA, UDART na sasa ananyanganywa ya Tanesco halafu wewe unatafuta hicho kidude chao cha nini?

mambo yote anapewa TTCL so tafuta kidude cha TTCL

Mliokuwa mnalilia Azimio la Arusha hilo linarudi kwa kupitia Mlango wa nyuma jiandaeni Mkao wa sijui kula au kuliwa
 
Sorry boss unaweza kunisaidia jinsi ya kuvipata na bei yake kama wajua??
 
Ujamaa hauna nafasi tena atashidwa tu kwa 100% private ownership nimuhimu katika maendeleo ya nchi za LDC kama Tz
 
kama Upo Dar es salaam
tembelea Ofisi za TTCL Mtaa wa Samora baada ya jengo la TRA na kabla ya kufika NHC House kama umetokea Picha ya Askari ( Azikiwe/Samora).
 
Kama upo dar na una mashine ya selcom au maxmalipo unaiuza na haina tatizo lolote nakuomba pm na bei yako

NOTE:najua kuwa kwa mawakala zipo na bei zao nazijua so naomba bei yako isifanane na wao.
Mi ninayo
 
Nicheki kama uko serious
 
Ujamaa hauna nafasi tena atashidwa tu kwa 100% private ownership nimuhimu katika maendeleo ya nchi za LDC kama Tz

Wa Tanzania wanafiki sana, Wakati wa Mzee Mkapa na Jakaya kila 'Mzalendo' wa type ya kina Warioba na Zitto wakismama wanaulizia kwanini Mwinyi alilifuta Azimio la Arusha 1992 sasa hivi linarejeshwa pia tunalalamika

sasa kama Mwinyi alikosea kulifuta 1992 kwanini tupinge Magufuli kulirejesha?
 
Jinsi ya kurirudisha ndoshida hajui ......nchi lazma iwe na national policy kupitia azimio la bunge sio kukurupuka tu
 
kama Upo Dar es salaam
tembelea Ofisi za TTCL Mtaa wa Samora baada ya jengo la TRA na kabla ya kufika NHC House kama umetokea Picha ya Askari ( Azikiwe/Samora).
Ahsante mkuu kwa wale wanaojua bei ya hii mashine msaada please
 
Max Malipo kishaporwa Tender zote za Polisi, Dawasco, TRA, UDART na sasa ananyanganywa ya Tanesco halafu wewe unatafuta hicho kidude chao cha nini?

mambo yote anapewa TTCL so tafuta kidude cha TTCL

Mliokuwa mnalilia Azimio la Arusha hilo linarudi kwa kupitia Mlango wa nyuma jiandaeni Mkao wa sijui kula au kuliwa
Hicho kidude cha TTCL kinaotwaje?
 
Wa Tanzania wanafiki sana, Wakati wa Mzee Mkapa na Jakaya kila 'Mzalendo' wa type ya kina Warioba na Zitto wakismama wanaulizia kwanini Mwinyi alilifuta Azimio la Arusha 1992 sasa hivi linarejeshwa pia tunalalamika

sasa kama Mwinyi alikosea kulifuta 1992 kwanini tupinge Magufuli kulirejesha?
Azimio la Arusha...
walikosea sana kipindi kile,
 
Back
Top Bottom