Nahitaji mashine ya kufungia mifuko

Nahitaji mashine ya kufungia mifuko

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
112
Habari wapendwa. Niliwahi kuulizia kuhusu mifuko ya kufungia nafaka kilo 2 na kilo 5. Nilielekezwa humu na baadhi yenu nimepata. Sasa naulizia mashine ya kufungia mifuko hiyo naweza kupata wapi? Picha ya mifuko hiyo nmeambatanisha....
IMG-20181225-WA0029.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20181225-WA0029~2.jpeg
    IMG-20181225-WA0029~2.jpeg
    19.1 KB · Views: 39
  • IMG-20181225-WA0029~2.jpeg
    IMG-20181225-WA0029~2.jpeg
    19.1 KB · Views: 38
Back
Top Bottom