ukikosa ninayo IR2016Wada nahitaji photocopy mashine canon 2420 used iwe kwenye hali nzuri napatikana kwenye 0754255741
thanx boss nimeenda changombe nimepata thax a lot brojaribu pale chang'ombe jengo opposite na veta ila ukipata sehemu nyingine plz let me knw. Thanks
mkuu smmari umeipata kwa bei gan?? ninashida na mashine ya photocopy
bos nimepata kwa 1.2 iko poa sana.