Basi vizuri
Katika urafiki inabidi kila mtu awe muwazi kwa mwenzake, wanawake mnatabia ya kuwa na shida lakini hamsemi, ninapokua rafiki yako unanihakikishia utakua muwazi na mkweli katika mazingira ya yoyote yale, tofauti na hapo tutarudi kwenye bongo movie kuigiziana tu