Dah! Yani wewe huna gharama... Wewe ndio unafaa kutolewa outing!
Niliwahi kuwatoa wadada flani outing, wacha waanze kuagiza mavinywaji ya gharama! Zile chupa za elfu hamsini, mwingine ya laki! Nikaenda chooni bwana. Si wakajua nakimbia bili. Kurudi nakuta wameyarudisha na wameagiza Soda. Nikasema hapa sasa tutakwenda sawa!