Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wacha weeHahahaha, Rafiki bana
JF chit chat
Wacha weeHahahaha, Rafiki bana
JF chit chat
Hahahaha,hataki tena kutumaHahaha aisee ngoja tuone reply ya bibie .
Hahahaha, Rafiki forward butu ,halafu hii JF ujueyani rafiki umeshindwa kabisa kabisa kuipeperusha Bendera ya nchi yetu kinmataifa!!kweli
![]()
Kwanini kakataaKakataaaa so basi tena
Oooh ,yashakua haya tenaAaa wap tena kwa wewe mpemba ndo siwezi kbsaaa![]()
Eti hataki wapembaKwanini kakataa
Kajitahidi kukuonesha kuwa anakuhitaji ila ndo wewe umezingua 😂Hahahaha,hataki tena kutuma
Kwani wewe ni mpemba ?Eti hataki wapemba
Kwanini kakataa??acheni kuruka makida makida basi mda unaenda huko😎😎Kakataa kuja pm![]()
MmmmhKajitahidi kukuonesha kuwa anakuhitaji ila ndo wewe umezingua
Wanawake tuna pride mno .
HahahahaKwanini kakataa??acheni kuruka makida makida basi mda unaenda huko![]()
Mbona umeguna ?Mmmmh
Wewe unatumia nchi vizuri...Angepeperusha lakin sasa kumbe mpembaaanasikia wana roho mbaya hao wanatumia nchi vibayaa
![]()
Dah sisi wapemba tuna roho nzuri sana,wapole,wastaarabu , tunapenda warembo wetu, kiasi kwamba sokoni naenda mwenyeweAngepeperusha lakin sasa kumbe mpembaaanasikia wana roho mbaya hao wanatumia nchi vibayaa
![]()
😳😳😳yamekuwa hayo tena...Eti hataki wapemba